Jumamosi, 11 Aprili 2015

Picha:Hemed PHD Akiwa na Mtoto wake wakiwa na Furaha

Baba na Mwana wakiwa na furaha
Mtoto akitoa Kiss la Furaha Kwa Baba'ke mmmmmmwaaaa
Mzee mzma PHD akiwa na furaha ya kutosha

Wema Sepetu akili usiku huu instagram kwa kueleza kua Kweli yeye hanauwezo wa kubeba uja uzito usiache kuisoma apo china

Dah polesana dadangu Wema Sepetu Mungu yu pamoja nawe sio kwamba uwezo wa kuzaa hauna unao sana Tatizo muda bado dafangu Mwombe Mungu Mtoto Utapata tena mtoto MZURI SANA

Faraja ya Wanyonge: Download | Quick Rocka - Sophia Remix (Reggae Cove...

Faraja ya Wanyonge: Download | Quick Rocka - Sophia Remix (Reggae Cove...

Ukisikia OBEY CREW ujue ndo habar ya mjin kundi machachar kutoka Moro Town

Hii ndio Audio Cover ya ngoma yao mpya ambayo inakuja na ngoma nyingine nyingi 
OBEY CREW wakiwa kwenye pozi la pamoja vijana wakionyesha furaha na upendo 
OBEY CREW Wakiwa studio baada ya kumaliza kufanya ngoma yao mpya ambayo bado hawaja itambulisha jina la ngoma
OBEY CREW KILA MMOJA AKIWA KATIKA POZ ZAKE BAADA YA SHOW BABUKUBWA DODOMA.

kimchupa

gdkiliom

kimchupa