Wema Sepetu akili usiku huu instagram kwa kueleza kua Kweli yeye hanauwezo wa kubeba uja uzito usiache kuisoma apo china
Dah polesana dadangu Wema Sepetu Mungu yu pamoja nawe sio kwamba uwezo wa kuzaa hauna unao sana Tatizo muda bado dafangu Mwombe Mungu Mtoto Utapata tena mtoto MZURI SANA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni