Jumamosi, 11 Aprili 2015

Ukisikia OBEY CREW ujue ndo habar ya mjin kundi machachar kutoka Moro Town

Hii ndio Audio Cover ya ngoma yao mpya ambayo inakuja na ngoma nyingine nyingi 
OBEY CREW wakiwa kwenye pozi la pamoja vijana wakionyesha furaha na upendo 
OBEY CREW Wakiwa studio baada ya kumaliza kufanya ngoma yao mpya ambayo bado hawaja itambulisha jina la ngoma
OBEY CREW KILA MMOJA AKIWA KATIKA POZ ZAKE BAADA YA SHOW BABUKUBWA DODOMA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni